Nahitaji TV na freezer inayotumia DC

Nahitaji TV na freezer inayotumia DC

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
1,182
Reaction score
2,021
Nahitaji TV na freezer inayotumia DC kwa ajili ya solar.

TV isiwe inakula watt zaidi ya 20, na freezer isizidi watt 15.

PM au niandikie Sirngonyani@gmail.com
 
Mi nna tv flat inchi 15 inatumia dc na umeme mkubwa yaan ac... Bei 150000 haipungui.. Nicheki 0676057011
 
Sina kubwa hii n yangu natumia geto nataka nunua nyingne
 
Back
Top Bottom