Nahitaji TV LED 3D kuanzia nchi 32 na kuendelea

Nahitaji TV LED 3D kuanzia nchi 32 na kuendelea

Huu uzi umeingia matapeli naomba mwenye updates zozote za kibiashara kwn uzi huu atupe. cc Godwin Mmari,lucky sabasaba, mchaga jeuri, dist 111, sangoma nk. kesho nakuja rasmi na feedback
 
nimewataja waliowah kuchangia kwn hii thread ila niko kwn hatua za mwisho za kumchunguza huyo anayejiita Godwin Mmari.
 
kanitapeli sh laki moja kashirikiana na mtu anaitwa deus mallya 0787833596. nimeshafungua uzi kwn jukwaa la malalamiko. ndg lucky sabasaba huu mchezo wa huyu jamaa utafika mwisho tu cku zake zinahesabika. huyu jamaa ni tapeli mkubwa na tangu nimripoti hapa hajapost kitu zaidi ya kuendelea na PM kwa watu anaoendelea kuwatapeli
 
Ikiingia kichwakichwa unapigwa za uso aisee!!
Ogopa sana tapeli!!
 
Back
Top Bottom