Nahitaji Tshirt!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
620
Reaction score
282
Natafuta Tshirt kwa ajili ya wanafunzi. kwa mwenye taarifa wapi zapatikana anipm ili tuwasiliane kwa mapatano ya bei, rangi na idadi.
 
Natafuta Tshirt kwa ajili ya wanafunzi. kwa mwenye taarifa wapi zapatikana anipm ili tuwasiliane kwa mapatano ya bei, rangi na idadi.

Mi ni supply nazitoa ugani nipm namba yako tuongee bei
 
Nazitoa uganda,bei ni the max 12000 lowest 8000 sasa hapa inategemeana na quality na rangi
 
Mh mbona zipo posta bei 4000,7000/= poa kabisa kwa wanafunzi ,kuna makmtaa Fulani kavumbi kanachepukia bara2 ya Morogoro ,sikumbuki jina
Nazitoa uganda,bei ni the max 12000 lowest 8000 sasa hapa inategemeana na quality na rangi
 
Mimi nnazo kwa bei nafuu sn tuwacliane nikutumie picha.0719203333
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…