Nahitaji Toyota Premio

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
419
Reaction score
217
Habari wadau wa agari, nina milion 9 cash nahitaji toyota premio used ianze namba DF kuendelea mbele iwe haijwah kupata ajali kabisaa iwe haijawah kurudiwa rangi kabisaa hata bampa yaan! Lakini iwe haijawah kuguswa engine zaidi ya kubadilisha oil tu:

Mi nipo kigoma naomba isiwe ya silver wala nyeupe manake udongo wa kigoma sio rafiki saana wa hizo rangi.

Njoo Dm chap hela ni iko mfuko wa shati chapu.
 
Hapo kwenye rangi....
Rangi nzuri kwa mazingira yote ya vumbi na matope ni white na sliver!

Nyeupe ikichafuka haipotezi mg'ao ukitaka kuing'arisha ni rahisi kuliko rangi zingine pia!

Rangi nyeusi kwenye vumbi ni kisanga inachafuka haraka mno na kuing'arisha pia ni shida!
 
Premio za Rangi ya Maroon na Champagne ni za ovyo sana Mzee au Za Metalic Blue ni ovyo zikichoka na Nyeusi hakuna za hiyo budget maana ni zile za 2016 kwenda juu.
 
Whit
White au Pearly White?
 
Baada ya kupambana muda mrefu, nikaona cwez pata premio namba D kwa mil 9 , so nika lowe my expectation !
Juz nimekutana na premio x ya mhindi yaan ni namba E kabisaa Yaaaaani
Kuna watu wanajua kutunza magari
Nimeichukua na enjoy tu saivi
 
Attachments

  • IMG_7260.jpeg
    4.3 MB · Views: 72
Baada ya kupambana muda mrefu, nikaona cwez pata premio namba D kwa mil 9 , so nika lowe my expectation !
Juz nimekutana na premio x ya mhindi yaan ni namba E kabisaa Yaaaaani
Kuna watu wanajua kutunza magari
Nimeichukua na enjoy tu saivi
Mbona ni namba C hii Boss
 
Baada ya kupambana muda mrefu, nikaona cwez pata premio namba D kwa mil 9 , so nika lowe my expectation !
Juz nimekutana na premio x ya mhindi yaan ni namba E kabisaa Yaaaaani
Kuna watu wanajua kutunza magari
Nimeichukua na enjoy tu saivi
C huko kigoma ni E?
au ulikusudia kusema nin?
 
Baada ya kupambana muda mrefu, nikaona cwez pata premio namba D kwa mil 9 , so nika lowe my expectation !
Juz nimekutana na premio x ya mhindi yaan ni namba E kabisaa Yaaaaani
Kuna watu wanajua kutunza magari
Nimeichukua na enjoy tu saivi
km umenunua zaid y M.7 umepigwa n k2 kizito..
Nigari nzuri japo naona kutu milangoni
 
Uponayo sawa, hata mm nakupongeza kwa kumiliki premio mnyama..
Ila zingatia hapo kwny bei… prices must be 6m -7m hapo top kabisa.. zaid y hapo umepigwa
 
Uponayo sawa, hata mm nakupongeza kwa kumiliki premio mnyama..
Ila zingatia hapo kwny bei… prices must be 6m -7m hapo top kabisa.. zaid y hapo umepigwa
Sasa nimepigwa kwenye nini hapo sasa? Wakat gari hujawah iona?
Ivi unajua bei ya premio? Hebu zunguka na hiyo 6’m yako uone kama utapata
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…