Sam Jr official
Senior Member
- Dec 21, 2017
- 119
- 107
Rejea kichwa habari,nimelazimika kuomba kama kuna mtu anajua free blog template inayotumika kwenye blog kwasababu nnazotumia sa hivi zinakata matangazo kiasi kwamba napata pagiview nyingi kwenye blog lakini kwenye AdSense naambulia chache mfano;kwenye blog napate pagiview 5000 + lakn ads zinasoma 607 tu.
Kwa anayeweza kunisaidia please
Kwa anayeweza kunisaidia please