Nahitaji Tecno p5 au Huawei Ascend y 300.

Nahitaji Tecno p5 au Huawei Ascend y 300.

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,974
Reaction score
24,504
Nahitaji moja ya hizo simu...bajeti yangu 130....naomba cm iwe kwenye hali nzuri isiwe na mikwaruzo.
 
Mkuu ipo kwenye hali gani??

Ina condition nzuri kupita maelezo,haina damage ya aina yoyote wala haijawahi kuanguka hata urefu wa futi moja.net ipo fasta resolution ya screen ipo poa sana. Ukiitoa kwenye cover ni mpya kabisa
 
Ina condition
nzuri kupita maelezo,haina damage ya aina yoyote wala haijawahi kuanguka
hata urefu wa futi moja.net ipo fasta resolution ya screen ipo poa
sana. Ukiitoa kwenye cover ni mpya kabisa

kama ni hivyo sawa ila kwa kuwa ni used inabidi upunguze hiyo bei...mkuu c umeona bajeti yangu??
 
picha hizi hapa
 

Attachments

  • 1402400101055.jpg
    1402400101055.jpg
    54.1 KB · Views: 139
  • 1402400144798.jpg
    1402400144798.jpg
    50.9 KB · Views: 124
  • 1402400167047.jpg
    1402400167047.jpg
    39.2 KB · Views: 119

Similar Discussions

Back
Top Bottom