Kwa hiyo hela huwezi kupata pale kariakoo zinaanzia 230,000 mpaka 195,000 bei ya mwisho, sasa ndugu 110,000 imekuwa Huawei y330?!
Pili sikushauri sana kununua hiyo simu ya tecno h6 sababu zina tatizo la kupata joto sana "over heating"
Nakushauri bora hata ujichange uchukue tecno boom j7, at least unaweza kuifurahia!