Nahitaji Tank la maji

Nahitaji Tank la maji

queen_

New Member
Joined
Jun 23, 2016
Posts
2
Reaction score
1
Habari wapendwa, Nahitaji tank la kuhifadhia maji ambalo ni "used". Liwe ni kuanzia 2000 litres na kuendelea. Nipo Dar es Salaam. Kama kuna mtu analo tafadhali naomba ani pm, please. Natanguliza shukrani
 
Nahitaji la lita 10000. Mwenye nalo anipm
 
Back
Top Bottom