Ah!! Michongo mingine hii unajua kabisa ina lengo la kukwamishana ili kesho mtuambie "tunawapa mishe lakini hamzichangamkii"!! Yaani Kilo 500,000 za Pilipili?!
Ah!! Michongo mingine hii unajua kabisa ina lengo la kukwamishana ili kesho mtuambie "tunawapa mishe lakini mnazipotezea"!! Yaani Kilo 500,000 za Pilipili?!
Hiyo angetoa bei kwa kilo, kama inalipa atoe miezi mitatu alimiwe...
Kwa hapa Nyumbani hatuna large scale ya kilimo cha pilipii ya kuweza kupata Tani 500