Me nahitaji Land cruiser VX 1hdt turbo engine. Aliye nayo tuwasiliane tafadhali!
ninanyo call 0713774746 mbezi beachMwenye suzuki Escudo milango mitano anitumie na picha zake kabisa mara baada ya kuona picha ndipo sasa tunaweza kuzungumza biashara lakini mpaka niione tena kwa macho
namba iwe kuanzia B na kuendelea isiwe V6 na cc isizidi 2000.
Kwa aliyenae anitumie picha inbox iwe Dar lakini maana ndipo nilipo
Niko na Suzuki Vitara namba ni BHW Manual. Cc1620. Ukipenda tuwasiliane.