Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,558 Reaction score 109,095 Jul 17, 2017 #1 Nahitaji mtu au kampuni inayotengeza matofari ya hydroform mjini Dodoma ili tufanye biashara. Kwa anayefahamu pia si vibaya kutowa maelekezo hapahapa kwa Dodoma niende maeneo gani na pia kama kuna contact ni jambo jema zaidi. Karibuni.
Nahitaji mtu au kampuni inayotengeza matofari ya hydroform mjini Dodoma ili tufanye biashara. Kwa anayefahamu pia si vibaya kutowa maelekezo hapahapa kwa Dodoma niende maeneo gani na pia kama kuna contact ni jambo jema zaidi. Karibuni.