Karibu, ninayo suit black, nimevaa mara moja tu kwenye harusi yangu
nimekucheki pm, mm ninayo black
Hapana mkuu hii kitu ni ya kawaida sana kama vile kukodi gauni ya harusiHahaha...vyuma hivi sio kabisa!!..ngoja wadau waje mkuu
Duh....baba nenda gym......kiuno 38....unaelekea 40
Kwa size hii,lazima utakua na kitambi cha maana
Kanunu Koti mtumbani 20000ha ha ha ha h unakodi ili kumfurahisha nani?jikubali tu jinsi ulivyo,ndio maisha yalivyo.
Hbr wananzengo,nimealikwa ktk harusi ya swahiba wangu inayotarajiwa kufanyika mwezi ujao ila vazi siku hiyo ni western suit.naomba mnijuze ni wapi nitapata western suit ya kukodi na itagharimu kiasi gani?
Ha ha ha h aKanunu Koti mtumbani 20000
Suluari mtumba 10000
Na shati 6000
Tai 3000
Jumla 39000
Hii utatunza na siku nyingine ikihitajika utatinga