fanya tsh 55000/=
Je!unapatikanaje? nipe namba ya simu.
mimi nipo ushirombo (bukombe) mkoani geita ,contact 0755868463
Sasa inakuwaje?mie niko dar.biashara ifanyikeje?
0757-049601
Mimi nincho lakini niko mwanza
aisee hapo sasa ndo ugumu unapokuja, sijui tufanyeje
Nahitaji kununua kisimbusi cha startimes kutoka kwa yeyote aliyekichoka,hakihitaji,kakiweka uvunguni.
Nina Tsh.35,000/-