Nahitaji Solar TV

Nahitaji Solar TV

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,955
Reaction score
16,006
Habari wakubwa, kama mada inavyosema hapo juu!ninahitaji kununua television inayotumia umeme wa juu (solar TV) naomba mnisaidie kunishauri aina na siyo mbaya mkaniambia hata bei zake
 
Size gan ndo tukusaidie bei.... Anyway tafta Tv kampun ya TANDAR
 
kama ipo nchi 43 itakuwa vizuri, ila niliwahikuambiwa kuwa kubwa ya mwisho ni nchi 32 japo sina uhakika!
Size gan ndo tukusaidie bei.... Anyway tafta Tv kampun ya TANDAR
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom