Nahitaji Solar Panel 100 watt.

hiyo ya watt 180 uliyochukua yaweza kurun vitu gani!kwa matumizi ya nyumbani (jiko friji taa heater) inatosha?
Mkuu kujua ni watt ngapi unahitaji na kuwasha nini inategemea vyombo vyako ni watt ngapi (kwa kawaida vitu vinavyo-heat vinatumia umeme sana mfano (jiko, heater, pasi n.k.) wakati vitu kama feni, tv, fridge na taa za energy saver ni umeme kidogo sana...

ukishaangalia hizo watt jumlisha zote upate ni watt ngapi, kwahio matumizi yatategemea hizo watts na masaa mangapi hizo panel zinapata direct sunlight
 

Wadau naona issue ya watt inachanganya watu.
Katika Solar power kuna watt ya aina mbili. Watt ya Inverter na Watt ya panel. Mara nyingi watt ya inverter ni kubwa kuliko ya panel.
Ni vizuri mteja ukawa open zadi pale unaposema 100watt.

Nimewapa bei, kwa serious buyer niandike email info@g12.hk kwa mawasiliano zaidi.

G12.
 

Nyinyi ni walanguzi na ma-dollar yenu!
 
Reactions: G12

Nyinyi ni walanguzi na ma-dollar yenu!

Ndugu usiwe bias hivyo kwa kitu usichokijua au kwa kutaka kufanikisha lengo lako unalolijua wewe.

Kama una uhakika na unayoyasema tunakukaribisha uje kiwandani uone mwenyewe. Ikiwa huwezi, jaribu kumtumia mtu wako wa karibu akusaidie kupata unachotaka.

Pia, naomba ufahamu China inatoa kila aina ya bidhaa, siku utakapopigwa na bidhaa mbovu nadhani utakumbuka maneno yangu.

Pamoja ndugu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…