nahitaji soko la mahindi na maharage!

nahitaji soko la mahindi na maharage!

spike

Senior Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
112
Reaction score
15
nina maharage ya uyole 96 (hybrid), ni yale maharage mekundu. pia tuna mahindi zaidi ya tani 5000. mwenyewe soko la haya mazao naomba anijuze. shukrani wakuu
 
Kenya kuna soko la uhakika. Wasiliana na mfanyabiashara wa mazao aliyeko mpakani mwa Kenya, utapata bei nzuri.
 
Back
Top Bottom