Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,915
- 30,027
Wakuu Kwema?
Habari za Weekend?
Ninahitaji Software ya Kuandika na Ku-Print Hundi (Cheques). Nimejaribu ku design from MS Excel na MS Word lakin naona kama haitotoka kama navyotaka. Ningepata ambayo naweza kuiunga (Integrate) kwenye mfumo wa malipo (Payment Voucher) ingekua vizuri zaidi.
Google pia nimeziona ila ziko complicated kidogo, mi nahitaji Simple tu.