Kununua China inaweza kuwa gharama nafuu zaidi. Labda umkute supplier ameleta Tanzania kwa kiwango kikubwa kitu ambacho ni nadra. Ushauri wangu ni kwamba anza na ya ku process kidogo kutokana na uwezo wako ili ujifunze changamoto zake na pia unaweza kudunduliza mtaji wa kununua capacity kubwa zaidi. Ukisema dola 200 ni nyingi utakuwa bado hujajipanga kwa hiyo project mzee. Nenda hata SIDO labda utapata mashine unayotaa lakini bado lazima uwe na kamtaji fulani.Habari Wajumbe,
Naomba msaada wa mtu anaejua wanapotengeneza hii mashine au anaeweza kutengeneza hii mashine. Ni mashine ambayo upande mmoja ni Rice Mill na upande mwingine ni Pulverizer (kusagia unga) ambazo kila moja ina uwezo wa kuprocess 120 kg per hour (according to the manufacturer) ambao wako China. Nimewasiliana na watu wa China na bei ya mauzo ni around US $ 230 ila tatizo ni usafirishaji tu ndio unakatisha tamaa mana zote gharama zake ni above US $200 ndio mana nataka nione kama kuna mtu anaweza nisaidia.
Nimeattach picha ya hiyo mashine hapo chini.
Joel
Kuna mzee Tarime huwa ni mtaalamu wa hivi vitu hadi watu wanatoka mijini kwenda kuchonga kwake ni PM kwa maelezo zaidiIna maana Jf nzima hamna watu wenye workshop yenye uwezo wa kudesign mashine kama hii?
Gharama ya tarime inaweza kuwa kubwa bora uagize China kwa dola 200,na siajabu pia ikawa na exemption hebu pita TRA ucheck Hs code za mashine hiyo kama taxable au vipi maana gharama ya usafiri naona ni ndogo sana tena iagize kama lose cargo ije kwa meli ni cheaper though it takes some weeks to arrive.Duuu tarime
Na Mimi nahitaka hii mkuu naomba ukibahatika kuipata unijuze ninunuepia kwani wakisafirisha hadi Tz ni sh ngapi jumla?Habari Wajumbe,
Naomba msaada wa mtu anaejua wanapotengeneza hii mashine au anaeweza kutengeneza hii mashine. Ni mashine ambayo upande mmoja ni Rice Mill na upande mwingine ni Pulverizer (kusagia unga) ambazo kila moja ina uwezo wa kuprocess 120 kg per hour (according to the manufacturer) ambao wako China. Nimewasiliana na watu wa China na bei ya mauzo ni around US $ 230 ila tatizo ni usafirishaji tu ndio unakatisha tamaa mana zote gharama zake ni above US $200 ndio mana nataka nione kama kuna mtu anaweza nisaidia.
Nimeattach picha ya hiyo mashine hapo chini.
Joel
Tatizo hajaeleza gharama zote na kodi ni sh ngapiYaani mkuu USD 200 ndio unapiga chini kuagiza toka China? Daaaah hata kama ni ubahiri huu kiboko kabisa. Muda huu unahangaika wenzio itakuwa tayari iko kwenye meli inakuja
Watu wa VETA wanaweza kutengeneza au kama hawawez najua wanaweza kukushaur vizur wapi pa kupata, kwa mfano VETA Moshi wako vizur sana nilishaona baadhi ya mashine zao wakati wa maonyesho ya nane naneThanks sana na sana kaka.Kesho ntafika pale kuulizia. Thanks sana na sana kaka
Mkuu walla usipate tabu wasiliana na NANDRA ENGINNERING wapo Moshi mjini. Hizo mashine wanazitengeneza wenyewe ni imara na hautajutia. Unaweza kupata mawasiliano nao kwa kuandika google "NANDRA ENGINEERING"Habari Wajumbe,
Naomba msaada wa mtu anaejua wanapotengeneza hii mashine au anaeweza kutengeneza hii mashine. Ni mashine ambayo upande mmoja ni Rice Mill na upande mwingine ni Pulverizer (kusagia unga) ambazo kila moja ina uwezo wa kuprocess 120 kg per hour (according to the manufacturer) ambao wako China. Nimewasiliana na watu wa China na bei ya mauzo ni around US $ 230 ila tatizo ni usafirishaji tu ndio unakatisha tamaa mana zote gharama zake ni above US $200 ndio mana nataka nione kama kuna mtu anaweza nisaidia.
Nimeattach picha ya hiyo mashine hapo chini.
Joel
Yaani mkuu USD 200 ndio unapiga chini kuagiza toka China? Daaaah hata kama ni ubahiri huu kiboko kabisa. Muda huu unahangaika wenzio itakuwa tayari iko kwenye meli inakuja
Mkuu walla usipate tabu wasiliana na NANDRA ENGINNERING wapo Moshi mjini. Hizo mashine wanazitengeneza wenyewe ni imara na hautajutia. Unaweza kupata mawasiliano nao kwa kuandika google "NANDRA ENGINEERING"