Nahitaji simu ya HISENSE U980' Used!

Umeipotezea maeneo gani??!!..

Kuna watu huwa wana-comment post za watu na kusema punguzeni kunywa vibora havina matokeo mazuri kwa afya ya ubongo na kichwa kwa jumla. Nilikuwa siwaelewi kabisa ila kidogo kidogo naanza kuwaelewa sasa.

Mkuu, huyu jamaa umemuuliza "amepotezea wapi" kwani kupoteza nini mkuu...?

Shukran.
 
Hekima inahitajika tatizo uelewa unakua mdogo alafu mtu hajui kwanini na nini madhumuni ya yeye kuwepo hapa Jf!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…