Nahitaji simu....nakupa laki 2 + blackberry bold 9780

Taylor Gang Jr

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
131
Reaction score
7
Habari za jioni wakuu...!!
#nilikuwa nahitaji simu kama itawezekana kuipata hata ndani ya wiki hii,especial jumamosi.
Mm nitakupa tsh laki mbili (200,000) kamili pamoja na simu ya BlackBerry Bold 9780 (white),ipo in good condition na haina matatizo yoyote,na haina scratches.
##Naomba Tuwasiliane wakuu kama inawezekana kufanya hivyo..*NASHUKURU*
 

Htc desire HD lkn ina crack kwenye kioo


Sent from my iPhone
 

nina Nokia E52 kwa 200,000 sitaki hiyo blackber na nina Nokia E72 kwa 150,000 zote zipo vyema kabisaa
 

Lete 250 nina samsung galaxy S na unipe hiyo BB.0719103278
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…