Nahitaji simu kali wadau. Bei 200,000

Nahitaji simu kali wadau. Bei 200,000

Simu kali kwa bei hiyo bro??labda wataalam wa mifuko wajitokeze otherwise utaishia kwa mchina kina Itel,ditel nk hata techno kali hupati.
 
kuna Nokia C7 hapa. Google specifications zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom