Nahitaji simu fasta.

Nahitaji simu fasta.

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
160
Reaction score
13
Nimeuza simu muda si mrefu so nahitaji simu fasta sana weekend hii ya ku replace
Specs ...
Budget. Laki moja cash.
Aina: samsung,lg,nokia(line 2 au 3)
Isiwe ya kichina tafadhali mf. Techno,nokla,n.k
Mahali nilipo . Upanga dms

Pm tuwasiliane kesho mapema.
 
Ohooo #viti maalum tayari washaanza vibwagizo. Ila kwa waelewa washanielewa. IN SHORT NIPO DSM.( City centre)
 
nimeuza simu muda si mrefu so nahitaji simu fasta sana weekend hii ya ku replace
specs ...
Budget. Laki moja cash.
Aina: Samsung,lg,nokia(line 2 au 3)
isiwe ya kichina tafadhali mf. Techno,nokla,n.k
mahali nilipo . Upanga dms

pm tuwasiliane kesho mapema.

kna lg e400 kaka.. Lete hiyooo kilooo.!!!!! Touch, na haina tatizoo, and kwenye charge, am sure unawajua lg!!!!
 
Nina nokia e72. Wasiliana nami
0758158730
 
City center?! Si uende madukani hapo k'koo,kisutu,posta..au unapenda bure.
 
#hekimatele kuna pipo kaja anahitaji hii cm na mm nilikuwa nawaza kuiuza so sio ishu saana kwan bado nina s2 inanisaidia. So i need one more
 
#brn ndio ila nilikuwa natangaza fursa kwa wadau huenda wana wazo. Ikifika j2 nachukua shop tuu.
 
Back
Top Bottom