Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 694
- 809
- Thread starter
-
- #21
Asante kaka. Ila nipo mkoani.Nenda Mobile Plaza kuna duka linaitwa Punga phone kuna simu nzuri me nimetoka hapo juzi kuchukua Sony Xperia Z3+ ni laki 8 ina warranty ya miaka miwili
Mkuu ina kila kitu? I mean charger, earphones etc.
Na vipi uko wapi?
Nitumie pics zake whatsapp mkuu 0754828082Ina charger, earphone haina nipo Arusha
Kwanini mzee?Dah kwel uchumi wetu umekuwa sana aisee
Kiwanja gani unapata kwa 800k?Hiyo hela kanunue kiwanja
Nokia wanakuja na kitu gan mkuu?Subiri NOKIA wanaleta kitu matata.Wenye Samsung wajiandae kuzitupa
Nenda Mobile Plaza kuna duka linaitwa Punga phone kuna simu nzuri me nimetoka hapo juzi kuchukua Sony Xperia Z3+ ni laki 8 ina warranty ya miaka miwili
Mkuu, huyo jamaa yako hukumuliza hilo duka liko wapi?Hiyo mobile plaza iko wapi mkuu kuna jamaa yangu kanunua simu hapo kwa huyo huyo punga phones htc bei poa.
Vipo vingii tu. Njoo huku Kibaha Mile1Kiwanja gani unapata kwa 800k?
Mile 1 sehemu gani utapata kiwanja kwa laki nane?Vipo vingii tu. Njoo huku Kibaha Mile1
Kwanini unailaza kwenye maji mkuu?nunua hicence huwa nailaza kwenye ndoo ya maji week nikiitoa naitumia tu nina miaka miwili sasa niliipata south africa mwaka juzi