Nahitaji simu aina ya Nokia E72

Nahitaji simu aina ya Nokia E72

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,374
Reaction score
4,985
Habari ndudu zangu? Nataka kununua simu aina ya Nokia E72 iliyotumika (used). Hivyo, basi ikiwa kama kuna mtu yupo tayari aniuzie, au kama kuna mtu anafahamu zinapouzwa anijulishe. Tuwasiliane kupitia PM. Naomba ushirikiano wako.
 
Back
Top Bottom