Mbona simu zipo nzuri zaidi ya hiyo...? Hiyo ina nini cha ziada?nahitaji kuinunua
Jibu kama ipo au haipo yeye ameshasema anaitaka hiyo au unataka unachotaka wewe nayeye atake hicho hichoMbona simu zipo nzuri zaidi ya hiyo...? Hiyo ina nini cha ziada?
Umerudi kwa account nyingine?Jibu kama ipo au haipo yeye ameshasema anaitaka hiyo au unataka unachotaka wewe nayeye atake hicho hicho
Umefanikiwa kuipata boss??mwenye simu aina ya huawei honor 7X anicheki in box
Ametumwa Na KarumanzilaMbona simu zipo nzuri zaidi ya hiyo...? Hiyo ina nini cha ziada?
Mnauzaje bossUnaweza kuja kkoo kesho dukani? karibu na ilipo kuwa round about,au Posta mpya?