Kaparo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,247 Reaction score 5,451 Jul 7, 2017 #1 Habari Jf members, Napenda kuuliza ni wapi ntapata simu aina ya blackberry bold 9930 au 9900 kwasasa nipo Tanga. Naomba mnijuze bei ya kuanzia au mahala zinapopatikana kwani naweza sogea Arusha au Dar kwaajili ya simu tajwa. INAHITAJIKA MPYA.
Habari Jf members, Napenda kuuliza ni wapi ntapata simu aina ya blackberry bold 9930 au 9900 kwasasa nipo Tanga. Naomba mnijuze bei ya kuanzia au mahala zinapopatikana kwani naweza sogea Arusha au Dar kwaajili ya simu tajwa. INAHITAJIKA MPYA.