Habari wana jf, poleni na majukumu ya kazi. Kwa yeyote anayejua center inayotoa mafunzo ya muda mfupi ya Tehama iliyopo maeneo ya ubungo naomba anielekeze nahitaji kusoma.