P Private-eye JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 1,069 Reaction score 1,211 Apr 22, 2019 #1 Salaam! Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5. Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa. Mwenye nalo aje inbox. Asante.
Salaam! Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5. Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa. Mwenye nalo aje inbox. Asante.
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,224 Reaction score 12,622 Apr 22, 2019 #2 Ingekuwa maeneo ya MOROGORO ningekupa location mzee baba heka 10 na mto umekatiza katikati ya shamba
sir. Mwasongwe Senior Member Joined May 30, 2015 Posts 106 Reaction score 76 Apr 23, 2019 #3 Hekari moja sh ngapi? Norshad said: Ingekuwa maeneo ya MOROGORO ningekupa location mzee baba heka 10 na mto umekatiza katikati ya shamba Click to expand...
Hekari moja sh ngapi? Norshad said: Ingekuwa maeneo ya MOROGORO ningekupa location mzee baba heka 10 na mto umekatiza katikati ya shamba Click to expand...
bombei_safaya JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 314 Reaction score 287 Apr 23, 2019 #4 Kgambon
M melanin gal Member Joined Sep 8, 2016 Posts 57 Reaction score 22 Apr 26, 2019 #5 Location na bei tafadhali Norshad said: Ingekuwa maeneo ya MOROGORO ningekupa location mzee baba heka 10 na mto umekatiza katikati ya shamba Click to expand...
Location na bei tafadhali Norshad said: Ingekuwa maeneo ya MOROGORO ningekupa location mzee baba heka 10 na mto umekatiza katikati ya shamba Click to expand...
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,482 Apr 26, 2019 #6 melanin gal said: Location na bei tafadhali Click to expand... Mkuu ni shamba si kiwanja hahahaa
M melanin gal Member Joined Sep 8, 2016 Posts 57 Reaction score 22 Apr 26, 2019 #7 Yes, nimeelewa. Nilikua nataka kujua lipo sehemu gani na bei yake Mr Confidential said: Mkuu ni shamba si kiwanja hahahaa Click to expand...
Yes, nimeelewa. Nilikua nataka kujua lipo sehemu gani na bei yake Mr Confidential said: Mkuu ni shamba si kiwanja hahahaa Click to expand...
Dalali Bunju Member Joined Feb 10, 2014 Posts 44 Reaction score 65 Nov 16, 2019 #8 MR UNINFORMED said: Salaam! Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5. Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa. Mwenye nalo aje inbox. Asante. Click to expand... Ulisha pata mkuu? Budget yako kiasi gani? (maana unaweza pata kubwa zaidi - kulingana na budget yako)
MR UNINFORMED said: Salaam! Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5. Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa. Mwenye nalo aje inbox. Asante. Click to expand... Ulisha pata mkuu? Budget yako kiasi gani? (maana unaweza pata kubwa zaidi - kulingana na budget yako)
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,289 Reaction score 1,426 Nov 16, 2019 #9 MR UNINFORMED said: Salaam! Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5. Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa. Mwenye nalo aje inbox. Asante. Click to expand... ninalo Kisarawe eka. 10
MR UNINFORMED said: Salaam! Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5. Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa. Mwenye nalo aje inbox. Asante. Click to expand... ninalo Kisarawe eka. 10