Utakuwa umechelewa, jipange kwa mwakani. Tanganyika sasa hivi ekari inauzwa kati ya Tzs 250k na 300k hii ni baada ya Wasukuma kuvamia Katavi. Maeneo mengi bado yana miti mikubwa hivyo kusafisha inahitaji nguvu kubwa na iwe operesheni ya muda mrefu. Angalau ukawa na uwezo wa kusafisha ekari 5 au 10 kila mwaka! Tanganyika ndiko kwenye mahindi tofauti na Mlele!