Nahitaji secretary

Nahitaji secretary

Lyatuu the Great

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
212
Reaction score
85
Awe na Miaka 18 hadi 25 awe form 4 kuendelea,ajue kuongea kiingereza na kiswahili. Ajue kufanya miamala ya fedha benk.Ajue kutumia compyuta.awe muaminifu.awe anajua lugha ya kuvutia biashara Awe na wadhamini wawili..awe hapa dar. Cv zitumwe kupitia kwa CEO wa Lyatuu company ltd. 0783085858.0769881984.0715085858.kwa njia ya sms au E MAIL lyatuujudicate84@gmail.com.na whatsap namba 0783085858.
 
Mkuu vp kuhusu jinsia
 
Je vip kwa aliye na elimu zaidi ya hiyo ila anaweza perform duties zote?!
Awe na Miaka 18 hadi 25 awe form 4 kuendelea,ajue kuongea kiingereza na kiswahili. Ajue kufanya miamala ya fedha benk.Ajue kutumia compyuta.awe muaminifu.awe anajua lugha ya kuvutia biashara Awe na wadhamini wawili..awe hapa dar. Cv zitumwe kupitia kwa CEO wa Lyatuu company ltd. 0783085858.0769881984.0715085858.kwa njia ya sms au E MAIL lyatuujudicate84@gmail.com.na whatsap namba 0783085858.
 
Company Ltd, post: 17502590, member: 180596"]Aliye na elimu zaidi hapana tutashidwana kwenye mshahara.
Nadhani yeye atatakiwa kubagein kwa elimu ya kiwango hicho au kutokana na majukum yake tu. Hivyo akituma maombi atakuwa ameelewa tayari
 
kama ndo hivyo tafuta aliye ishia la7 pesa yako yamawazo et anaejua kingeleza na kiswahili we wawapi au MSUKUMA
 
Lyatuu Company Ltd,nitapenda nikujibu hoja yako kama ifuatavyo.Mshahara wa mfanyakazi analipwa kulingana na elimu na utendaji wake kazini huwezi kumuajiri mtu mwenye master ukamlipa mshahara wa diploma. Utakuwa hujamtendea haki na hata wakaguzi kutoka serikalini wakija kukagua makapuni binafsi huangalia scale ya mishahara ya wafanyakazi wanaangalia elimu na scale ya mshahara ili kujua unawalipa sahihi na wanachangia kiasi gani kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom