Nahitaji screen ya Mac 2012

Nahitaji screen ya Mac 2012

Nadu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
263
Reaction score
212
Wadau wa JF nawasalimu,

Nimevunja kioo cha PC yangu aina ya Mac ya mwaka 2012. Nimeambatanisha picha ambayo inaweza kusaidia specifications zake. Kama unayo wasiliana nami kwa namba 0622 328 549.

mac%202012.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo uwezekano mkubwa ni kuuziwa full set Mkuu.

Ila labda usubiri Wadau waje waweza kubahatisha.
 
Back
Top Bottom