Wataalamu tafadhali nisaidieni sina utaalamu sana na pc juzi nilipga windo chini nkaweka window ileile iliyokuwepo 8 Laki nkaitumia aiku tatu ikawa haisomi jwenye port zake nkicheki driver cuna problem coz kuna ishara ya ? Nkijarib kuweka cd ya driver hairun na inataka on line kaini ndio haiwezi kupokea mordem lala chochote zaidi ya cd nisaidieni tafadhali