nahitaji Samsung tablet 2 nina laki 300000

nahitaji Samsung tablet 2 nina laki 300000

Labda ya ki-china


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Una laki 300000?

Hela nyingi sana hiyo kwa tablet tu, au unataka yenye vifungo vya almasi? /s .
 
Duu laki tatu? Then tab 2........
 
Back
Top Bottom