Wadau nanunua simu tajwa hapo juu, iwe kwenye hali nzuri, no scratches,iwe na accessories Zorro, rangi yoyote na betri isiwe kimeo , bei ni 200000 Tshs. Mwenye nayo tufanye biashara
ipo s3 utatoa laki2 na 70
Oyaa clone au ya kweli?
Ni PM hata 100 utapata;California-Silicon Valley version!Kitu pure
acha utani ww unataka galaxy s2 kwa bei ya nokia xpress. nenda kariakoo zimepangwa chini za kichina
Aise....S2 kumbe zimeshukaa
ipo s3 utatoa laki2 na 70
Masikini Samsung,S3 original kweli kwa 270??hii hapana
Hii hapa hela au?
Ipo s2 original kutoka uk, ilikuwa 3 network UK. Tatizo haingii charge, inabidi kutumia kobe, inakuja na extra battery. 350,000 tsh