Nahitaji Samsung galaxy note3

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Wadau nahitaji simu tajwa hapo juu haraka, iwe katika hali nzuri ila mwisho wangu ni laki 5. Kama unayo ni pm fasta tufanye biashara. Nipo dar
 
Wadau nahitaji simu tajwa hapo juu haraka, iwe katika hali nzuri ila mwisho wangu ni laki 5. Kama unayo ni pm fasta tufanye biashara. Nipo dar

Je kama utaitaj TECNO BooM J7 mpyaa inauzwa kwa bei poa kabisa sh 240,000 in warrantee ya mwaka mzima Touch screen Internal memory 16 GB Adroid version 4.4 anaeitaji Call 0717 751644
 
Ninayo not 3.inamiezi 4 toka itoke korea.550.cash.na nina lg g e975 ngalia hiyo simu kwa google ina mwezi toka itoke korea.400
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom