Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,154
Ukipata nami ntonye .....hahaha u cnt be serious hiyo bei ni ya note 3
Bajeti yangu ni lak 5.5 kuna room ya negotiation!!! Dont even think kuniletea copy I know the infact mimi pia huwa naziuza
Mwenye hii kitu ani PM tafadhali
Ukipata nami ntonye .....hahaha u cnt be serious hiyo bei ni ya note 3
unaziuza pia ???!
Bajeti yangu ni lak 5.5 kuna room ya negotiation!!! Dont even think kuniletea copy I know the infact mimi pia huwa naziuza
Mwenye hii kitu ani PM tafadhali
ipo all most new imetumika mwezi tuu ..970000,kama uko serious nichek hapa 0783380123
Mkmi ninayo mpya kabisaaa yani hata laini haijawekwa jiongeze mpaka milioni na laki tatu (1.3 nikupe else no?
Samsung Note 4 original bei yake ikiwa mpya hapa Tanzania ni kuanzia Tshs 1,300,000 hadi 1,700,000. Iliyotumika ndiyo yaweza kuuzwa kati ya Tshs 700,000 hadi 1,000,000 kulingana na shida na uharaka.
View attachment 262720