D diannajohn Member Joined Nov 13, 2016 Posts 76 Reaction score 8 Apr 26, 2018 #1 Habari wanajamii forum, naitaj kupata msaada kwa mtu alie mwanza anielekeze mahali napoweza kupata samaki wabichi kwa bei nzur nataka nianze biashara hiyo nanunua na kuwakaanga arafu nauza sina mtaj mkubwa nataka nianze na kidogo tu
Habari wanajamii forum, naitaj kupata msaada kwa mtu alie mwanza anielekeze mahali napoweza kupata samaki wabichi kwa bei nzur nataka nianze biashara hiyo nanunua na kuwakaanga arafu nauza sina mtaj mkubwa nataka nianze na kidogo tu
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,631 Reaction score 38,749 Apr 26, 2018 #2 Wanakuja
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,025 Reaction score 13,334 Apr 26, 2018 #3 Ferry posta