2000 kg kwa wiki? Acha nipige kambi hapa
Ndio kila week nahitaji kilo 2000kg, samaki kuanzia 400gram mpk 1kg,
Weka namba me ninao wakutoshaHabarini ndugu zangu,
Nipo na uhitaji wa samaki aina ya sato wanaofugwa kwenye mabwawa waliotiyari kuvunwa, mahitaji yangu ni tani 2 kila week.
Kwa yeyote anaefahamu wanapopatikana, au yeye mwenyewe anao tujuzane tufanye biashara, mi niko Dar.
Habarini ndugu zangu,