Ndio hakuna fixed amount, labda
Mwl.RCT atusaidie.
Nafkiria tu maybe anayekuletea anaweza akaweka data kama Picha ama kitu chengine unique halafu akutumie wewe kama ushahidi, simu ikifika unawaambia wa husika kwamba ni simu yako umetumiwa toka nje na hujanunua wafungue wenyewe wahakiki.
Alternative Tengeneza kabisa Apple id weka contact zako na kila kitu password yako halafu jamaa alogin kule kule ikija kama simu yako, wakiitoa kwenye makaratasi inadai password unaweka mbele yao itakua rahisi kukuamini.