Nahitaji roommate wa kike kupunguza gharama za maisha DSM

Joined
May 23, 2022
Posts
92
Reaction score
339
Mimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 150k-250k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi.

Binafsi nina WiFi na kitanda tayari so hata tuki share bed no problem au tukigawe chumba in two half, hilo halina shida.

Nakula migahawani tu ila kama ukiridhia tunaweza ku share jiko pia UKIRIDHIA.

Do and don't do tutazipanga wote! Hit my inbox or just comment I'll find you.
 
Ww ni mvulana.

Alaf why awe mwanamke?.

Kwanini usitafute roommate wa kiume, Wanachuo kibao wanaungana na wanachukua nyumba nzima. Hapo Sinza, Survey na Ubungo wako Weng sana wanaofanya collabo ya namna hiyo.

Ila ni same sex na sio nyumba moja kuwe na opposite Sex.

Hiki kitu unachofanya ni kuoa.
Na kuoa mwanamke hatakiwi achangie kodi. Komaa kama mwanaume.
 
Anazunguuka longolongo nyingi🤣🤣
 
Mimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 150k-250k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi.

Binafsi nina WiFi na kitanda tayari so hata tuki share bed no problem au tukigawe chumba in two half, hilo halina shida.

Nakula migahawani tu ila kama ukiridhia tunaweza ku share jiko pia UKIRIDHIA.

Do and don't do tutazipanga wote! Hit my inbox or just comment I'll find you.Sasa si unge sema tuu kwamba una taka kuowa mkuu
 
Back
Top Bottom