Nahitaji Room Sinza

Nahitaji Room Sinza

deogan

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
399
Reaction score
46
Nahitaji room self ya kupangisha sinza, isizidi 100000, mazingira mazuri kwa mwanafunzi

God is Good
 
Ina maana hakuna madalali humu


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nahitaji room self ya kupangisha sinza, isizidi 100000, mazingira mazuri kwa mwanafunzi

God is Good

Sasa mdogo wangu,hivi haujawai kusikia kuwa sinza ni moja ya eneo ghali sana kuishi hapa mjini,kwa kawaida chumba na sebule ni 150,000/=Nakushauri kama wewe mwanafunzi tafuta maeneo mengine tulivu,kwani hata hivyo sinza hakufai,wingi wa sehemu za starehe unawiana na wingi wa wanawake malaya,Sisi ni wazawa wa huko,sema tulishakimbia zamani,jengo tumeligeuza kuwa lodge kwani inalipa sana huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom