Nenda kaulizie maduka ya ujenziMorogoro
zamani ilikuwaga pale kariakoo soko la juu.sijui baada ya kuungua ni wapi tena utapataKama heading inavyosomeka anaefahamu wapi naweza kupata makoti ya mvua kwa bei ya jumla (low price) anisaidie... Natanguliza shukrani.
Nenda pale urafiki, ofisi za ako mtafute mke wa koka ndo mishe zake hizo