Nahitaji rafiki wa kiume


Mimi natosha vigezo vyote kasoro hapo no 1, ila sijui wewe uko ndani ya nchi au nje, maana kama rafiki sharti twende sehemu mbalimbali pamoja Kikazi na kistarehe
 
hahaha kumbe mdada upo, ila naona hujaweka vigezo vyako vyooote, au siku hizi umeshajielewa!!?

itakuwa vyema ukitaja vyoote kuwa awe na nyumba, gari na assets nyinginezo
 
eka picha kwanza maana kama mpaka umekuja jukwani apa kuna kitu behind
just saying tu
 
Yaani una mid 20's bado unaota urafiki? huna hata aibu kuendelea kutumika tu alafu uje kumpelekea mmeo kasha tupu?
 
Makofili anakufaa kabsa...a.k.a mzee wa push up!! Tena Kama wee ni mzaramo ushapata...
 

hahahahahahah,mkuu we ni tatizooo...Eti asiwe histogram au sio?
 
Hapo mtaani hamna mwenye sifa hizi?
 

Yaan wewe kama umekosa friends hapo ulipo..na sehemu ulipojiajiri unamatatizo, and maybe your not friendly...halafu friends unapata kwa kublend in with different kind of peoples...sasa kama ni friendship only hiyo qualification ya usingle ina utata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…