Nahitaji radio ya mtumba

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
812
Reaction score
397
salaam,,,wadau natafuta radio ya mtumba DVD player used,,,,,ofa yangu ni laki 3
 
Ongeza kidogo ufikie kwenye laki 5 nikuachie redio
 
Inapiga DVD, ina LED screen ambayo unauwezo wa kuangalia movie yako kupitia hiyo screen bila hata ya kuwa na TV, ni original made in malaysia, ina nguvu sana na ni nzima kabisa.
 
Kuna jvc ni pm kwa picha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ukinipa 4 na nusu nakuachia, jivute kidogo kiongozi.
 
hizo radio nchi nyingine zinauzwa $20 zaidi $30 used


Sent from my iPad using JamiiForums

Si ungeenda kununulia hizo nchi nyengine, acha maneno ya mkosaji hapa, hapo bandarini utaitoa bure, kuipandisha kwenye ndege utaipandisha bure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…