Activits Senior Member Joined Oct 8, 2013 Posts 195 Reaction score 51 Nov 2, 2016 #1 Habari wana Jf, niko katika hatua za mwisho kukamilisha ranchi ya mfano ya ufugaji wa Punda hivyo nahitaji watu serious watakaoweza kuniuzia punda kwa bei nzuri. Nina mpango wa kuanza na punda 1000. mwenye kuweza kuwapata tuwasiliane (pm)
Habari wana Jf, niko katika hatua za mwisho kukamilisha ranchi ya mfano ya ufugaji wa Punda hivyo nahitaji watu serious watakaoweza kuniuzia punda kwa bei nzuri. Nina mpango wa kuanza na punda 1000. mwenye kuweza kuwapata tuwasiliane (pm)
Baba wa Mapaka JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 1,828 Reaction score 1,662 Nov 2, 2016 #2 Bei gani nikutafute twende Arusha