Nahitaji pumba za mahindi

Nahitaji pumba za mahindi

mfyetele

Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
24
Reaction score
3
Samahani ndugu zangu Nina uhitaji mkubwa wa pumba za mahindi Niko Arusha mjini naomba msaada wa upatikanaji
 
Unahitaji kiasi gani kwa wiki au mwezi na ujazo gani(debe)
 
nina pumba nyingi lakini sijakuelewa,unamaanisha unataka gunia moja la pumba kwa wiki au!!!kama ndio unamaanisha hivyo basi hukupaswa kuandika uhitaji mkubwa maana kama ni gunia moja kwa wiki naamini hukohuko arusha ungelitafuta vizuri ungeweza kupata!!nilidhani unahitaji magunia 50 pengine na kuendelea kwa wiki ningekuwa attracted
 
Mkuu kuwa makini na pumba zilizochanganywa na mabunzi na hizo ni nyingi sana kwa arusha
 
nina pumba nyingi lakini sijakuelewa,unamaanisha unataka gunia moja la pumba kwa wiki au!!!kama ndio unamaanisha hivyo basi hukupaswa kuandika uhitaji mkubwa maana kama ni gunia moja kwa wiki naamini hukohuko arusha ungelitafuta vizuri ungeweza kupata!!nilidhani unahitaji magunia 50 pengine na kuendelea kwa wiki ningekuwa attracted
Uhitaji wangu ni kumi tu
 
Back
Top Bottom