youngmauzo
New Member
- Apr 2, 2014
- 4
- 0
Nahitaji psp bei yangu nina 100,000 naomba mnisaidie nahitaji haraka kwani nina safari ijumaa kama unayo niandikie namba za simu nikucheki hewani mimi nipo dar
Kama una simu ya maana ya android tafuta hii app inaitwa ppsspp unacheza game za psp ipo had ya laptop
Nahitaji psp bei yangu nina 100,000 naomba mnisaidie nahitaji haraka kwani nina safari ijumaa kama unayo niandikie namba za simu nikucheki hewani mimi nipo dar
kuna thread inahusu psp embu jaribu kuitafuta jamaa anauza bei chee mnaweza kuelewana....