Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,282
- 10,923
12 kiongozi wangu.Hiyo ps4 ina system software gan ndan mkuu?
Poa mkongwe!Okay sawa mcheki huyu jamaa 0712 653 732 kama uko dar
Ukiwa na ambayo ni JAILBREAK au PC games nicheki mkuu 0710701361Poa mkongwe!
Kibongo bongo PS5 bei yake ipoje?Mkuu si uvute ps5 upate atleast 60fps ili uenjoy smoothness ya hizo games, ps4 iko outdated sana na kama sio ps4 Pro ndo kabisa
Kwann ubadilishe wakati hazitofautiani graphics?Kibongo bongo PS5 bei yake ipoje?
Kuna mahali wanaruhusu kubadilishana, yaani nawapa PS4 yangu then naongezea pesa kidogo wananipa PS5?
Ps4 pro na Ps5 zinatofautiana nini Kwenye graphics?Mkuu si uvute ps5 upate atleast 60fps ili uenjoy smoothness ya hizo games, ps4 iko outdated sana na kama sio ps4 Pro ndo kabisa
PS4 imeanza kutengwa na jamii ya game developers.Kwann ubadilishe wakati hazitofautiani graphics?
Mi sio mtu wa magame sana...Mimi ni fifa tu...nikienda mbali GTAPS4 imeanza kutengwa na jamii ya game developers.
Game zote mpya kali kali zilizotoka hivi karibuni zimetolewa kupitia PS5 tu.