Nahitaji ps2 mpya full package

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,566
Reaction score
3,234
kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kununua ps2 mpya


bei maelewanoo inahitajika harakaa sana....tafadhari
 
Hakuna ps2 mpya labda kama unakaribisha kupigwa. Ps2 ilianza kutengenezwa toka mwaka 2000 na ikaachwa kabisa kutengenezwa toka 2012, hivyo yoyote utakayoipata itakuwa imetengenezwa atleast miaka 7 iliopita.
 
Chief mkwawa always on the point harembi!
Bravo bro and sorry kwa wapigaji.
Swali kwa yeyote yule nina external drivwr ina movies na game nawezqje kuzichez hizo game nina samsung smart tv na samsung home theatre na kot hiyo ecterna ina soma ila sijajua jinsi ya ku access hizo game nahitaji nini
 
Game za pc ama kifaa chochote ulizoweka kwenye hard drive huwezi kuzicheza kwenye tv, unless uichomeke hio hdd kwenye laptop ama desktop kisha kutumia waya wa hdmi uconect na tv ndio uzicheze. Ila movie unaweza.
 
Hakuna ps2 mpya labda kama unakaribisha kupigwa. Ps2 ilianza kutengenezwa toka mwaka 2000 na ikaachwa kabisa kutengenezwa toka 2012, hivyo yoyote utakayoipata itakuwa imetengenezwa atleast miaka 7 iliopita.
nimemaanisha isio ya mtumba... nafahamu hilo ndugu ndio maana nimesema mpya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…