Nahitaji printer

Nahitaji printer

yoyote ile mkuu ili inisaidie huku chuo
Kwa kuwa upo chuo

1. Hakikisha unanunua printer yenye mitungi kwa nje - CISS
- Ghalama za uendeshaji ni ndogo
- Hata ukiwa unawaprintia jamaa zako chuo kwa TSH 50 (hamsini) kwa page still itakulipa sana, hususani kipindi cha kuandaa research /proposal / printing assignment - Utajikuta hela ndogo ndogo haukosi mfukoni

2. Epson zitakizi mahitaji - Napendekeza EPSON L300 used utapa kwa tsh 200,000 mpya yaweza kuwa zaidi ya 350,000 ( iwapo fungu lako ni dogo, vuta subira)

3. Epuka HP printer zinazotumia cartilage ndogo - , hata kama utauziwa tsh 50,000, utakuja juta, na nyingi ya hizi printer huwa ni three in one ( printing/ photocopy/ scanning)

Kia lakheri ndugu
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom